UTHIBITISHO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OR-TAMISEMI KUJIUNGA NA VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019


KARIBU KATIKA TOVUTI YA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

Tafadhali, utafuata hatua zifuatazo kuthibitisha:

  1. Utaingiza namba yako ya mtihani,
  2. Soma Taarifa zako, pakua Fomu ya kujiunga na chuo, kisha thibitisha,
  3. Kamilisha taarifa za msingi.

Muhimu:

  1. Kubadilisha Chuo na/au kozi itakuwa ni baada ya kuthibitisha na kutategemea kama nafasi itakuwepo kwenye chuo na/au kozi unayotaka kubadilishiwa,
  2. Kubadilisha kutahusisha gharama/malipo,
  3. Kubadilisha kutafanyika kuanzia tarehe 9/8/2018 - 23/8/2018
ENDELEA MBELE FUNGA