19th June 2017 16:07:12

TANGAZO KWA UMMA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAREHE 16 – 23 JUNI 2017

 

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)


TANGAZO KWA UMMA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

TAREHE 16 – 23 JUNI 2017

Katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma 2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa jamii katika Utoaji Huduma,Vijana Washirikishwe kuleta Mabadiliko Barani Afrika”, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) tunawatangazia wadau na umma kwa ujumla kutoa maoni au changamoto kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma zetu kufika katika ofisi za Baraza zilizopo Dar-es-Salaam, Mikocheni eneo la viwanda kitalu namba 719/1/4 kuanzia tarehe 19.06.2017 hadi 26.06.2017  saa 4.00 asubuhi mpaka saa 9.00 alasiri.


 

Kwa wale waliopo nje ya Dar es Salaam wanaweza kufikakatika office za kanda  au wapeleke maoni yao kwenye ofisi zetu za kanda zilizopo


  1. Kanda ya kaskazini – Ofisi zipo ndani ya chuo cha ufundi cha Arusha (Arusha Technical Collage), S.L.P 14333 Arusha,Simu: 0658-444556/0713-373223.

  2. Kanda ya Kati- Ofisi zipo ndani jengo la NSSF, S.L.P 17007 Dodoma, Simu: 0715-442980/0783-118112.

  3. Kanda ya Kusini – Ofisi zipo ndani ya Chuo cha VETA, S.L.P 1472 Mtwara, Simu: 0714-118113/ 0677-444015.

  4. Kanda ya Ziwa – Jengo la Eka Cliff mtaa wa Isamira - Balewa, L.P 11935 Mwanza,  Simu: 0658-444560/ 0787-301382.

  5. Kanda ya Nyanda za Juu Kusini – Mwalimu House, S.L.P 2051, Simu 0658-444563/6/0752-279332.

  6. Kanda ya Magharibi – Ofisi ya zamani ya mkuu wa mkoa (Boma), SLP 464 Tabora, Simu: 0677-444016/0677-444017.

  7. Kanda ya Zanzibar – Ofisi zipo jengo la Kinazini ZSTC, SLP 1191 Zanzibar, Simu: 065-8444565/0713-889669


WOTE MNAKARIBISHWA

Tafadhali wasiliana nasi kwa anwani ifuatayo:

Katibu Mtendaji,

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ,

Kitalu Namba 719/1/4,

Mikocheni eneo la viwanda,

SLP 7109 Dar es Salaam,

Simu: +255-22-2780077

Nukushi: +255-22-2780060

Barua pepe:  es@nacte.go.tz

Tovuti: www.nacte.go.tz

 

Imetolewa na

OFISI YA KATIBU MTENDAJI BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI