Tafadhali soma kwa makini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho.
Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 25-04-2025
Masharti na Sifa kwa Waombaji,
- Taarifa kwa Waombaji:
-
-
Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo
anachotaka kuhamia kama vile, mahali chuo kilipo, hali ya hewa, ada na michango mingine.
Kwa taarifa zaidi awasiliane na chuo anachotaka kuhamia.
- Uhamisho unawahusu wanafunzi waliopo katika mwaka wa masomo 2025/2026
kwa mkupuo wa MACHI na
2024/2025 kwa
mkupuo wa SEPTEMBA,
ili kuhakiki kama upo katika mwaka husika bofya
Hapa
- Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana
- Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu
- Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia
- Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 25-04-2025
- Malipo
-
- Gharama za mchakato wa uhamisho ni Tsh 20,000/=, Malipo yaliyopokelewa
hayatarejeshwa.
-
-
Kuendelea na mchakato wa maombi, tafadhali bofya hapa
Endelea
-